SIMBA SC WANAENDELEA NA MAZOEZI YAO KAMBINI MOROCCO



BEKI wa Simba SC, Muivory Coast, Serge Wawa Pascal akifanya mazoezi na wenzake Gym mjini Rabat nchini Morocco katika kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya.

Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiendelea na mazoezi Gym mjini Rabat baada ya baadhi ya wenzao kuondoka kwenda kujiunga na timu zao za taifa kwa ajili ya mechi za kufuzu Kombe la Dunia.





Post a Comment (0)
Previous Post Next Post