YANGA SC YASAJILI KIPA MWINGINE MGENI, SAFARI HII NI MRUNDI ERIC JOHOLA KUTOLA AIGLE NOIR YA KWAO




KLABU ya Yanga imemtambulisha kipa Mrundi, Eric Johora kama mchezaji wake mpya wa tano kutoka Aigle Noir ya kwao, Bujumbura.
Anakuwa kipa wa pili mpya, wote wa kigeni baada ya Djigui Diarra kutoka Stade Malien ya kwao, Mali.
Wengine ni washambuliaji watupu, Wakongo Fiston Mayele kutoka AS Vita ya kwao, Kinshasa na Heritier Makambo kutoka Horoya ya Guinea pamoja na mzawa, Yussuf Athumani kutoka Biashara United ya Mara.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post