LUSAJO AMFUNIKA MAYELE KWA MABAO LIGI KUU


MSHAMBULIAJI wa Namungo FC, Relliant Lusajo amemaliza mzunguko wa kwanza anaongoza kwa mabao Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufumania nyavu mara 10, mara tatu zaidi ya Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post