SIMBA SC SAFARI NIGER KWA MAJUKUMU YA KIMATAIFA


MASAFARA wa Simba umefika salama Jijini Addis Ababa, Ethiopia ambako wachezaji watalala kabla ya kuunganisha ndege kesho asubuhi kwenda nchini Niger.



Ikumbukwe Jumapili Simba watakuwa na mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, US Gendarmerie kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Simba Sports Jénérali Seyni Kountché Jijini Niamey.



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post