TONNY RASHID AMSHINDA BONGANI KWA POINTI

BONDIA Tony Rashid Ngongo ‘Bad Belle’ juzi alifanikiwa kurejesha mkanda wake wa ubingwa wa Afrika (ABU) uzito wa Super Bantam baada ya kumshinda kwa pointi Bongani Mahlangu ‘Profesa’ wa Afrika Kusini ukumbi wa Kilimanjaro, Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam. 



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post