YANGA SC WAIFUATA MTIBWA SUGAR KWA TAHADHARI

MSEMAJI wa Yanga SC, Haji Manara amesema mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro utakuwa mgumu kwao kwa sababu wenyeji wao ni wapinzani kweli. 



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post