HomeMTBsports MFADHILI, GHALIB WA YANGA AFIWA NA BABA MZAZI byMtibwaCity -March 01, 2022 0 MFADHILI Mkuu wa klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM Tanzania, Gharib Said Mohammed amefiwa na baba yake mzazi, Sheikh Said Mohamed leo Jijini Dar es Salaam. Tags: MTBsports Facebook Twitter