YANGA WAMUENZI MAGUFULI KWA NA NAMNA HII


VIONGOZI wa benchi la Ufundi na wachezaji leo waumeungana na Watanzania wote katika kumbukizi ya Mwaka mmoja wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliekuwa Rais wa Awamu ya Tano kwa kuwatembelea Wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post