KOCHA Mspaniola wa Simba, Pablo Franco Martin amemuanzisha kipa Beno Kakolanya katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya watani wa jadi, Yanga jioni hii Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.