KAPTENI MPYA, MBAPPE AIONGOZA UFARANSA KUSHINDA TENA

BAO pekee la Benjamin Pavard dakika ya 50 jana liliipa Ufaransa ushindi wa pili mfululizo 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Ireland Uwanja wa Aviva mjini Dublin katika mechi ya Kundi B kufuzu Euro 2024.
Ulikuwa mchezo wa pili mfululizo timu ikicheza na kushinda chini ya Nahodha mpya, Kylian Mbappe baada ya Machi 24 kuichapa Uholanzi 4-0 kwenye mechi ya kwanza ya kundi hilo.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post