MBOMBO NA DUBE WAFUNGA AZAM FC YAICHAPA KMC 2-1

WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na washambuliaji wake, Mkongo Idris Mbombo dakika ya 35 na Mzimbabwe Prince Dube dakika ya 71 wakati la KMC limefungwa na Matheo Anthony dakika ya 77.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post