BODI YA FILAMU YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA KOREA KUSINI


WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana @pindi.chana akishuhudia utiaji saini wa Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na Taasisi ya Mashirikiano Kimataifa (BFIC) kutoka Korea Kusini leo Aprili 24, 2023 Mtumba jijini Dodoma.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post