WAAILI SIMBA WAINGIA KIKOSI CHA WIKI LIGI YA MABINGWA


NYOTA Wakongo wa Simba, beki Henock Inonga Baka ‘Varane’ na mshambuliaji Jean Othos Baleke wameingia kwenye kikosi cha Wiki cha Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya mechi za kwanza mwishoni mwa wiki.
Simba ilishinda 1-0 dhidi ya Mabingwa watetezi, Wydad Athletics Club katika mchezo wa kwanza ww Robo Fainali Jumapili Dar es Salaam na timu hizo zitarudiana Ijumaa Casablanca.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post