FAINALI LIGI YA MABINGWA WA MIKOA KUFANYIKA KILIMANJARO


FAINALI za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) zinatarajiwa kufanyika kati ya Aprili 19 na 28 mkoani Kilimanjaro ikishirikisha jumla ya timu nane zilizofuzu kutoka makundi manne.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post