MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo amewakabidhi Simba SC kitita cha Milioni 5, zawadi ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufunga bao moja katika kipigo cha 3-1 cha Raja Casablanca kwenye mechi ya mwisho ya Kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa kuamkia jana Jijini Casablanca nchini Morocco.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekuwa akitoa zawadi y Sh. Milioni 5 kwa kila bao linalofungwa kwenye Hatua ya makundi ya michuano ya Afrika.