KAGERA SUGAR YAICHAPA MBEYA CITY 1-0 KAITABA


BAO pekee la Ally Nassor Iddi dakika ya 87 limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Ni kwa ushindi huo Kagera Sugar wanafikisha pointi 35 na kusogea nafasi ya saba, wakati Mbeya City wanabaki na pointi zao 27 nafasi ya 13 baada ya wote kucheza mechi 27.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post