AISHI MANULA KWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU


KIPA namba moja wa Simba, Aishi Salum Manula anatarajiwa kwenda Afrika Kusini kwa matibabu baada ya tiba zake kugonga mwamba nchini.
Aishi aliumia kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Aprili 7, mwaka huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post