AZAM FC YATAMBULISHA KOCHA MPYA MSENEGAL


KLABU ya Azam FC imemtambulisha Msenegal, Youssouph Dabo kuwa Kocha wake mpya Mkuu  kuanzia msimu ujao wa 2023/24 baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili leo.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post