AZIZ KI MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI APRILI


KIUNGO mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ye Tanzania Bara kwa mwezi Aprili, Abdallah Mohamed ‘Bares’ wa Tanzania Prisons akiwa Kocha Bora.
Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Burkina Faso, ameshinda Tuzo hiyo kuwa kuwazidi mshambuliaji Mkongo wa Simba, Jean Othos Baleke na kiungo mzawa wa Azam FC, Ayoub Reuben Lyanga.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post