KASHFA YA RUSHWA CHAMPIONSHIP YAWAHUSU ULIMBOKA NA KITUMBO


MKURUGENZI wa timu ya Kitayosce, Yusuph Kitumbo anatuhumiwa kutaka kutoa hongo kwa wachezaji wa Fountain Gate katika mchezo wa Ligi ya Championship kupitia kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Ulimboka Mwakingwe.





Post a Comment (0)
Previous Post Next Post