NAMUNGO FC YAMTAMBULISHA ERASTO NYONI SIKU MOJA TU BAADA YA KUTEMWA SIMBA


KLABU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi imemtambulisha kiungo mkongwe anayeweza kucheza nafasi zote za ulinzi pembeni na katikati, Erasto Edward Nyoni kuwa mchezaji wake kwanza mpya kuelekea msimu ujao.
Namungo FC inamtambulisha Erasto siku moja tu baada ya klabu ya Simba kutangaza kuachana naye kufuatia kudumu Msimbazi tangu mwaka 2017 akitokea Azam FC.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post