ALIYEKUWA KICHA WA YANGA, NABI ATUA FAR RABAT


ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Nasredeen Nabi amejiunga na timu ya timu ya FAR Rabat ya Morocco kwa mkataba wa miaka miwili na ataanza kazi mara moja.
Nasredeen Nabi, raia wa Tunisia aliachana na Yanga baada ya msimu mzuri akiipa mataji yote ya nyumbani, Ngao ya Jamii, ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) pamoja na kuifikisha Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post