KOCHA mpya mkuu wa Yanga, Muargentina Miguel Ángel Gamondi (kushoto) na Mtendaji Mkuu, Mzambia Andre Mtine (kulia) wakimkabidhi jezi ya klabu hiyo, Taibi Lagrouni (50) baada ya kuajiriwa kuwa Kocha wa Fiziki kutoka klabu ya Hassania ya kwao, Morocco.