BAO la mshambuliaji mpya, Dennis Modzaka aliyesajiliwa kutoka Bechem United F.C. ya kwao, Ghana limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Tags:
MTBsports