WACHEZAJI YANGA WAKAGUA MKWAKWANI KABLA YA KUIVAA AZAM KESHO


KIKOSI cha Yanga leo kimetembelea na kukagua Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga kuelekea mchezo wao ww kesho wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya AzamwFC utakaoanza Saa 1:00 usiku.
PICHA: WACHEZAJI WA YANGA WAKIKAGUA UWANJA WA MKWAKWANI JIJINI TANGA LEO


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post