RAIS HERSI AMTEMBELEA MWENYEKITI WA ZAMANI YANGA MZEE KATUNDU


RAIS wa Yanga SC, amemtembelea Mwenyekiti wa zamani wa klabu, Dk. Jabir Idris Katundu mapema leo nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam  na kuzungumza mambo mbali mbali kuhusu klabu hiyo.
Mzee Jabir Katundu pia amewahi kuwa Katibu mkuu wa Yanga kati ya mwaka 1962 na 1966 chini ya Mwenyekiti Mohamed Mabosti, kabla ya kuwa Mwenyekiti kuanzia mwaka 1992 hadi 1996.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post