VIPORO VYA AZAM, SIMBA, YANGA NA SINGIDA VYAPEWA TAREHE LIGI KUU
byMtibwaCity-
0
MICHEZO mitatu ya Ligi Kuu ya NBC inazozihusu timu za Azam, Simba, Singida Fountain Gate na Yanga ambayo ilikuwa haijapangiwa tarehe hatimaye imekwishapingiwa siku ya kufanyika kwake.