BRENTFORD YAWACHAPA CHELSEA 2-0 PALE PALE STAMFORD BRIDGE


WENYEJI, Chelsea wamechapwa Mabao 2-0 na Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
Mabao ya Brentford leo yamefungwa na Ethan Pinnock dakika ya 58 na Bryan Mbeumo dakika ya 90 na ushei na kwa ushindi huo Bees wanafikisha pointi 13 na kupanda nafasi ya 10 wakiishushia Chelsea nafasi ya 11 ikiwa na pointi 12 baada ya wote kucheza mechi 10.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post