BALEKE AIPELEKA SIMBA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI


BAO pekee la Jean Balake dakika ya 45 na ushei limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Pemba katika mchezo wa Robó Fainali Kombe la Mapinduzi usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.
Sasa Simba SC itakutana na Singida Fountain Gate katika Nusu Fainali keshokutwa Uwanja wa New Amaan Complex.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post