KAMATI YA UCHAGUZI YATOA ORODHA YA MWISHO YA WAGOMBEA KUELEKEA UCHAGUZI WA SHIRIKISHO HILO TANGA MWISHONI MWA WIKI


KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetoa orodha ya mwisho ya wagombea katika uchaguzi mkuu wa bodi hiyo ya kandanda nchini utakaofanyika mwishoni mwa wiki hii Jijini Tanga.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post