BUMBULI NA MANARA WAPIGWA FAINI KILA MMOJA


MAAFISA Habari wa Yanga SC, Hassan Bumbuli na Haji Manara kila mmoja ametozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kuwashutumu marefa kwenye vyombo vya Habari Februari 8, mwaka huu.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post