HomeMTBsports DICKSON JOB AFUNGIWA MECHI TATU FAINI 500,000 byMtibwaCity -February 11, 2022 0 BEKI wa Yanga, Dickson Job amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumkanyaga mchezaji wa Mbeya City, Richardson Ng’ondya kwenye mchezo baina ya timu hizo Februari 5, mwaka huu. Tags: MTBsports Facebook Twitter