TANZANIA U17 TAYARI KUIVAA BOTSWANA JUMAPILI KOMBE LA DUNIA
byMtibwaCity-
0
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka wakifanya mazoezi kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Botswana Jumapili Uwanja wa Amaan, Zanzibar.