HomeMTBsports YANGA SC WAKABIDHIWA KOMBE LAO SOKOINE byMtibwaCity -June 25, 2022 0 WACHEZAJI wa Yanga SC wakifuaria na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia kukabidhiwa jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya baada ya mchezo dhidi ya wenyeji, Mbeya City uliomalizika kwa sare ya 1-1. Tags: MTBsports Facebook Twitter