KOCHA WA MAKIPA YANGA MBRAZIL MILTON NIENOV AONDOKA NA NABI


KLABU ya Yanga imeachana na kocha wake makipa, Mbrazil Milton Nienov baada ya misimu miwili ya kufanya kazi kwa mafanikio.
Mbrazil huyo aliyewahi kufanya kazi kwa watani, Simba anamfuatia kocha Mkuu, Nasredine Nabi ambaye jana Yangw ilitangaza kuachana naye kufuatia Mtunisia huyo kugoma kuongeza mkataba.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post