SUNDERLAND NDIYE MDHAMINI MPYA WA JEZI SIMBA SC


KAMPUNI ya Sunderland imeingia mkataba wa udhamini wa jezi na klabu ya Simba wenye thamani ya Sh. Bilioni 2 kwa mwaka miaka miwili.
Sunderland wanachukua nafasi ya Vunja Bei ambaye amemaliza mkataba wake wa miaka miwili.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post