KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA TABORA UNITED KAITABA


WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya 0-0 na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Kwa sare hiyo, Kagera Sugar wanafikisha pointi tisa na kusogea nafasi ya nane, wakati Tabora United inafikisha pointi 10 na kupanda nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi nane.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post