NIC YAINGIA MKATABA NA YANGA MILIONI 900 KUDHAMINI TUZO YA MCHEZAJI BORA


KAMPUNI ya NIC Insurance imeingia mkataba wa miaka mitatu na klabu ya Yanga wa kudhamini Tuzo za Mchezaji Bora wa Mwezi wa timu hiyo wenye thamani ya Shilingi Milioni 900 kwa kipindi chote hicho.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post