AZAM FC WALIVYOWASILI KIGOMA KUIVAA MASHUJAA LIGI KUU


KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama mjini Kigoma Jumanne tayari kwa mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Jumatano Saa 10:00 jioni dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC Uwanja wa Lake Tanganyika.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post