SIMBA SC YASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU NA SBL LEO


KLABU ya Simba leo imeingia mkataba mpya wa udhamini wa miaka mitatu na Kampuni ya Serengeti ​Breweries Limited (SBL) kupitia kinywaji chake cha Pilsner Lager, ambao hata hivyo thamani yake haijatajwa.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post