DUBE NA DIAO WAFUNGA AZAM FC YAICHAPA KVZ 3-1 CHAMAZI


TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KVZ katika mchezo wa kirafiki jioni ya Jumatano Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na washambuliaji, Mzimbabwe Prince Dube Mpumelelo na Wasenegal,, Msenegal Alassane Diao na beki Cheikh Sidibe.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post