TANZANIA PRISONS YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA GEITA GOLD SOKOINE


WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya 0-0 na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. 
Kwa matokeo hayo, Tanzania Prisons  wanafikisha pointi saba na kusogea nafasi ya 12, wakati Geita Gold inafikisha pointi sita na kusogea nafasi ya 15 baada ya wote kucheza mechi nane.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post